Creation Science Information & Links!
MAIN
F A Q
LINKS
ARTICLES
BOOKS
IMAGES
MP3
VIDEOS

 
Mwanzo 1:1  "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi." 

Yohana 1:1  "Hapo mwanzo kulikuwako Neno,
naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." 


Habari za uumbaji ni maelezo ambayo binadamu, dunia, ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa hapo mwanzo na wala ulimwengu haukuumbwa kutokana na mlipuko pasipokutokana na kitu chochote. 

Tunaishi juu ya chombo ambacho kimetengenezwa kwa ustadi, na kilicho na uwezo wa kujiongoza chenyewe. Maisha yetu, ushindi wa kimaisha na kifo kwa pamoja unakuwa ni ushahidi wa kutamanika wenye manukato ya kupendeza yaliyo na upendo na nyimbo za kupendeza. Hebu fikiria kidogo juu ya mambo hayo; Isabati, filosophia, kunyimwa, ukulima, kuchumbiana, vyote vilitoka pasipo kuwa na kitu? Je, viliumbwa kwa Bahati...?

Kutokana na vizazi vyote ambavyo vimeishi hapa duniani, hatuna sababu za kutotambua uwepo wa mwanasayansi wa isabati ambaye ameweka kila kitu kwa mpango. Inafaa tushangae kwa yote haya na wala tusiwe tunafikiria kwa kubahatisha tu. 

Takribani miaka 3,000 iliyo pita, Mfalme Daudi aliandika ( Zaburi 8:3-4 ) "Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota ulizoziratibisha; mtu ni kitu gani hata umkumbuke, na binadamu hata umwangalie?"


OTHER WEB SITES IN KISWAHILI WITH CREATION SCIENCE
TOVUTI NYINGINE KATIKA LUGHA YA KIINGEREZA ILIYO NA HABARI ZA SAYANSI YA UUMBAJI


... None yet ...     Go to: International Links

 
Biblia Takatifu  •  Holy Bible  •  Agano Jipya  •  New Testament
Biblia Takatifu
www.wordproject.org
Kiswahili Bibles
www.ethnicharvest.org
More On-line Bibles
www.e-sword.net
Bible
App
Blue-Letter
Bible

Mkristo Injili Ujumbe
The Christian Gospel Message · in Kiswahili
Bwana Yesu Kristo · Matthieu 6
Lord Jesus Christ · Matthew 6
10 Commandments
2 Commandments
Imani Ya Mitume
The Apostles' Creed - in Swahili
Zaburi
1 • 51 • 100 • 150

Zaidi ya Kikristo Rasilimali
More Christian Resources

Je, Umesikia Juu Ya ... Kanuni Nne Za Kiroho?

Ndivyo Yalikuwa Maisha Yako!  
Got Questions?
Kiswahili
SGM LifeWords
English
Fellowship Tract League
Kiswahili

Mjue Bwana Mungu Wako
  "How to Know God"

JESUS FILM
PROJECT
Global Recordings Network
Audio Gospel  •  Good News

Institute in Basic Life Principles - 
Youth Conflicts
Institute in
Basic Life
Principles

Basic Youth Conflicts
Bill Gothard
God's Story: From Creation to Eternity
www.gods-story.org
Creation to Eternity
Now in over 300 Languages! 
"Simply the Story" simplythestory.org
ChristianAnswers.Net
ChristianAnswers.Net
43 Languages!

The "Olivet Discourse" about the End Times - all 3 accounts start - with a warning from Jesus! Matt. 24:4b  "Take heed that no man deceive you."
Mark 13:5b  "Take heed lest any man deceive you."
Luke 21:8a  "Jesus said, Take heed that ye be not deceived;"
We live in a world with daily false "News" - intended to deceive us!  Isaiah 5:20  Look for REAL NEWS & TRUTH!.  (And let's pray for wisdom!  James 1:5)
NEWS:
Drudge
Report
World Net
Daily
Rush
Limbaugh
National
Review
Christian
Post - News
Voice of
the Martyrs
Prison
Planet
Reality
Zone
Khouse
NEWS

дети
Watoto
الأطفال
Kinder
Children & Teenagers / Kids & 
Teens / 孩子 & Подростки
青少年
Adolescents
किशोर
Youth


电影
Films
Фильмы
Movies
أفلام
Películas
Videos
InterComm
  
 Ken Anderson Films
For Teen-Adult • 51 Minutes
AMAWELE
Small - or - Medium
147MB
 
380MB
For Children • 28 Minutes
Bible 4 of 8 - JOSHUA AND THE PROMISED LAND
Small - or - Medium
70MB
 
214MB
For Children • 24 Minutes
Bible 6 of 8 - JONAH AND THE BIG STORM
Small - or - Medium
74MB
 
192MB
For All Ages • 67 Minutes
PILGRIM'S PROGRESS
Small - or - Medium
170MB
 
500MB
For Teen-Adult • 40 Minutes
SOME THROUGH THE FIRE
Small - or - Medium
105MB
 
300MB
For All Ages • 45 Minutes
THE ANSWER
Small - or - Medium
95MB
 
335MB
For Teen-Adult • 44 Minutes
THE CHARM
Small - or - Medium
133MB
 
340MB
For Teen-Adult • 45 Minutes
ZAWADI
Small - or - Medium
140MB
 
353MB
MORE MOVIES  
(in English)    

 

  Main Links Page  -  www.creationism.org/topbar/links.htm
 
— KISWAHILI, Swahili —   Dialects:  Kiunguja; Chimwiini; Kibajuni
This language is spoken in:   Kenya; Mozambique; Oman; Rwanda; Somalia; Tanzania; Uganda
More creation science information is available regarding:
Biology, Geology, Archaeology, Paleontology, Astronomy, Evolution, Intelligent Design,
Adam & Eve, Noah's Ark, the Ice Age, the Garden of Eden, and Earth History.

 
Bible Illustrations - 220 Images by Doré

The Bible in Pictures - 250 Images

 
Article (in English) on:  Dinosaurs
Article (in English) on:  Giraffes
Article (in English) on:  Woodpeckers
Article (in English) on:  Bats
 
-- Other Articles in English HERE --


Dr. Kent Hovind  •  Creation Seminar Series
Kiswahili  •  www.drdino.com  •  CSE (Creation Science Evangelism) 
Semina ya 1
"Umri wa dunia"
("The Age of the Earth")

DrHovindSem1_SW.m4v
ZIP file - 450MB - 115 Minute Video
English Audio  &  Swahili Sub-titles
DOWNLOAD:  CreationToday.org

Text

.SRT

.SUB

Je, umewahi kuwaza kuhusu haya?  Ninamaanisha, ni nini maana ya maisha?  Kwa nini tuko hapa?  Tulitoka wapi?  Kwa sababu hii, tutaenda wapi maisha haya ya kifika kikomo?  Semina hii inazungumzia kuhusu umri wa dunia.  Daktari Hovind anatoa ushahidi wa kweli kuonyesha kuwa Dunia hii haijakuweko kwa mabilioni ya miaka.  Kwa kweli, ushahidi huu unatuelekeza kwenye uumbaji wa siku sita.  Kama vile tunaambiwa katika kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza.
SAMPLE 1
SAMPLE 2
GO TO:
MAIN
VIDEO
PAGE
 

 

 
MAIN
F A Q
LINKS
ARTICLES
BOOKS
IMAGES
MP3
VIDEOS